Guru Master
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 226
- 594
Habarini. Kama kuna mtu anafahamu wapi zinapatikana Car Steering Lock please anisaidie kuna jamaa yangu mkoani ana hitaji ameomba nimsaidie.
Nadhani wengi wenye magari mtakuwa mnazifahamu. Zinasaidia kidogo kuleta usumbufu kwa mwizi asiibe kirahisi sana gari lako.
Moderator please rekebisha iwe upatikanaji wa....