elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Hii vita ya diamond na king kiba, sio kwamba imeharibu mziki na kufanya wasanii wakubwa hata wakitoa nyimbo zisilete impact kubwa kama ambavyo ingetegemewa.
Ila diamond au alikiba akitoa wimbo basi walio wengi uwa tayari kuusikkliza haijalishi mzuri au mbaya ila utasikia youtube una viewers 500k++.
Ila katika pita pita zangu nimekutana na vijana wengi wana nyimbo nzuri lakin airtime hawajapata, japo video zao sio nzuri lakini wamejitahidi na wengine wana vipaji zaidi ya wasanii wengine wanaowika.
baadhi yao ni hawa wafuatao:
dreams. huyu anao wimbo wake unaitwa amechelewa. kautengenezea kwa producer anaitwa abha video kwa AJ. wimbo mzuri ila ana views 30k tu youtube.
kucheki video yake ingia
mwingine niliyemwona anajiuta ibra nation ana wimbo unaitwa nilipize, kautengeneza ima the boy.
Ni ngoma kali ila ina viewers 33k tu.
Kuskiliza ingia hapa
Mwingine anajiita killy ana wimbo unaitwa rudi video kaitengeneza nisher walau yeye ana viewers 255k nadhani kwakuwa nisher aliipromote sana insta.