Wazee, mnakumbuka Horror moja ya kitambo 2002 inaitwa "28 Days Later" inamuhusu mwana mmoja ameamka hospital alikua kwenye coma karibia mwezi mzima anakuta Hospital hakuna ata mtu mmoja. Sio wauguzi wala wagonjwa.
Anatoka nje anakuta mji mweupeeee hakuna raia. Kumbe ni zombie apocalypse hafu ayo mazombir yanakuja usiku tu. Ilikua kali sana.
Sasa wamekuja na sequel yake ya 28 Years Later. Aisee hii trailer tu inatisha.