Update Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu!

Rasasem

Senior Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
100
Reaction score
79
Salaam waungwana, poleni na hongereni kwa majukumu mbalimbali mliyonayo wakuu, niende moja Kwa moja kwenye mada.

Je, Kuna mtu mwenye update yoyote kwa waliomba Mikopo ya elimu ya juu majibu yanategemewa kutoka lini? Nikiangalia ratiba ya vyuo mbalimbali vingine vinafungua tar 21 Ocktoba na mpaka Sasa bado hakuna update kutoka kwenye bodi.
 
Majibu unayo tafuta ni kujua kwamba mkopo umeupata au lini pesa inawekwa? Kama ni kucofirm wengine wamesha tumia sms za kupata mkopo lakini pesa bado haijatoka.
 
Majibu unayo tafuta ni kujua kwamba mkopo umeupata au lini pesa inawekwa? Kama ni kucofirm wengine wamesha tumia sms za kupata mkopo lakini pesa bado haijatoka.
Kumbe wengine tayari wametumiwa sms! Ok sawa ahsante sana kwa taarifa mkuu
 
Majibu unayo tafuta ni kujua kwamba mkopo umeupata au lini pesa inawekwa? Kama ni kucofirm wengine wamesha tumia sms za kupata mkopo lakini pesa bado haijatoka.
Aisee na mimi hii naisikia kwako, kumbe kuna wengine wameshatumiwa msg hongera sana kwao ngoja tusubiri wengine
 
Aisee na mm hii naisikia kwako,kumbe kuna wengine wameshatumiwa msg hongera sana kwao ngoja tusubiri wengine
Ndiyo ila pesa bado haijatoka wanasubilia kupata confirmation kutoka vyuoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…