Update Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu!

Wamewek tu kama ya mwaka 2022/2023 ila kweny boom wameongez
Hakuna kingin walicho toa Wal kupunguz
 
Looooooh kumbe!
Watu wengine bhana kazi yao kusambaza taarifa za uongo tu,hata hilo tangazo hapo juu halipo kwenye vyanzo vyote vya taarifa vya heslb(website, fb,x,wizara ya elimu wala instagram)
 
Kwenye upande wa diploma ukiweka rita verification code inakataa ku accept code ni sahihi ila mfumo wa bodi ya mikopo chenga. Nani kafanikiwa atujuze icho kipengele
 
Majibu unayo tafuta ni kujua kwamba mkopo umeupata au lini pesa inawekwa? Kama ni kucofirm wengine wamesha tumia sms za kupata mkopo lakini pesa bado haijatoka.
😫😫😫
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…