Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari kwa mliofanya interview ya custom assistant naomba kufahamu ni maswali gani yametoka mimi sijafanya sababu nilipoteza kitambulisho cha taifa nina copy na lost report lakini wamekataa
Asante mi sikufahamu leo ndo nimejua kumbe lost report haina umhimuDah pole sana wenzio walikatwa 7bu hawajaweka picha kwny portal ww unaenda n copy ya ktambulisho. Hakuna kitu wapo serious nacho km ktambulisho.. Pole sna siku nyngine nenda na barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa
Kwani Kitambulicho Cha mpiga kura hauna..?Habari kwa mliofanya interview ya custom assistant naomba kufahamu ni maswali gani yametoka mimi sijafanya sababu nilipoteza kitambulisho cha taifa nina copy na lost report lakini wamekataa
Vitambulisho vinavyopokelewa ni passport ya kusafiria,kitambulisho cha mkazi,NIDA, kitambulisho cha mpiga kura na driving licence tu.Ety wadau hebu niulize hv kama mtu Yuko na Kitambulicho Cha chuo anachosoma ataruhusiwa kuingia kwenye Usaili, Maana nayo pia ni Identity au vp
Hata hiyo barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa hawakubaliDah pole sana wenzio walikatwa 7bu hawajaweka picha kwny portal ww unaenda n copy ya ktambulisho. Hakuna kitu wapo serious nacho km ktambulisho.. Pole sna siku nyngine nenda na barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa
Wanakubali nina ushahidiHata hiyo barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa hawakubali
Wanakubali barua ya serikali ya mtaa.Hata hiyo barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa hawakubali
Muongo!!Hata hiyo barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa hawakubali
Hata cha kitambulisho cha Kazi kama ni muajiliwa.Vitambulisho vinavyopokelewa ni passport ya kusafiria,kitambulisho cha mkazi,NIDA, kitambulisho cha mpiga kura na driving licence tu.
Pole sana mkuuHabari kwa mliofanya interview ya custom assistant naomba kufahamu ni maswali gani yametoka mimi sijafanya sababu nilipoteza kitambulisho cha taifa nina copy na lost report lakini wamekataa