Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
No funds opposition iko nayo tayari ubaya Jubilee inatumiaYou need funds right? Na jubilee aren't that much stupid to finance any reforms that may put them in jeopardy.
Ndo hapo ule usemi kuwa kati ya executive, parliament na judiciary, executive ina deeper roots kuliko nyingine unadhihilika!No funds opposition iko nayo tayari ubaya Jubilee inatumia
NGO registration Board ya fazul ku cancel NGOs zinazo fund opposition kama ile ya George Soros na Rosemary Odinga foundation they locked 500mn Kshs na upto 3bn kshs for opposition funds na kuongeza vigezo ili msipate pesa toja nje ya Kenya kutumia kwa campaigns zenu za referendum....sasa Opposition ina result kwa kuitisha fund raising within Kenyans
Lol! Hukufuatilia tumeanzia wapi na MK254 hadi nikatolea mfano wa Israel. Ni bora uwe unafuatilia vizuri kwanza. Labda ngoja nikukumbushe.
Nimetolea mfano wa Israel baada ya MK254 kusema Tanzania kwa sababu ya ukubwa wake lazima iwe na waziri mkuu ili kusaidiana kuongoza, na akasema kwa kuwa Kenya ni ndogo na watu wako eneo dogo hawahitaji kuwa na PM. Mimi ndo nkamwambia hoja ya ukubwa wa nchi haina mashiko kwenye kuweka nafasi ya rais na PM, ndo nkatoa mfano wa nchi ndogo kama Israel ambayo ni ndogo sana lakini hawakuangalia kigezo cha size wakaona inawafaa kuwa na rais na PM.
Wewe hapa ndo ulipokuja na kudai kuanza habari za ceremonial figure, kitu ambacho nakifaham na wao waliamua kufanya hivyo kwa matakwa yao.
Nadhani umejua tunachokijadili.
Case closed! We're heading nowhere.Nami nikakuambia israel rais sio kiongozi wa serikali kwa hiyo PM yuko pale kuongoza serikali. Ndiyo tanzania ni kubwa na rais ni kiongozi wa nchi na serikali so PM yuko pale kusaidia utekelezaji. Ndiyo US ni kubwa PM sio lazima sababu mambo mengi tu yako kwenye serikali za majimbo.
Case closed! We're heading nowhere.
Lol! Hukufuatilia tumeanzia wapi na MK254 hadi nikatolea mfano wa Israel. Ni bora uwe unafuatilia vizuri kwanza. Labda ngoja nikukumbushe.
Nimetolea mfano wa Israel baada ya MK254 kusema Tanzania kwa sababu ya ukubwa wake lazima iwe na waziri mkuu ili kusaidiana kuongoza, na akasema kwa kuwa Kenya ni ndogo na watu wako eneo dogo hawahitaji kuwa na PM. Mimi ndo nkamwambia hoja ya ukubwa wa nchi haina mashiko kwenye kuweka nafasi ya rais na PM, ndo nkatoa mfano wa nchi ndogo kama Israel ambayo ni ndogo sana lakini hawakuangalia kigezo cha size wakaona inawafaa kuwa na rais na PM.
Wewe hapa ndo ulipokuja na kudai kuanza habari za ceremonial figure, kitu ambacho nakifaham na wao waliamua kufanya hivyo kwa matakwa yao.
Nadhani umejua tunachokijadili.
Lol! Hukufuatilia tumeanzia wapi na MK254 hadi nikatolea mfano wa Israel. Ni bora uwe unafuatilia vizuri kwanza. Labda ngoja nikukumbushe.
Nimetolea mfano wa Israel baada ya MK254 kusema Tanzania kwa sababu ya ukubwa wake lazima iwe na waziri mkuu ili kusaidiana kuongoza, na akasema kwa kuwa Kenya ni ndogo na watu wako eneo dogo hawahitaji kuwa na PM. Mimi ndo nkamwambia hoja ya ukubwa wa nchi haina mashiko kwenye kuweka nafasi ya rais na PM, ndo nkatoa mfano wa nchi ndogo kama Israel ambayo ni ndogo sana lakini hawakuangalia kigezo cha size wakaona inawafaa kuwa na rais na PM.
Wewe hapa ndo ulipokuja na kudai kuanza habari za ceremonial figure, kitu ambacho nakifaham na wao waliamua kufanya hivyo kwa matakwa yao.
Nadhani umejua tunachokijadili.
Lakini pia mifano yako haijajitosheleza maana nchi kama USA in kubwa lakini miundo mbinu IPO ya uhakika, hivyo rais anaweza kushughulkia eneo o
Mfano wako haukujitoshekeza, siku zote huwa nawaambia muache kujilinganisha na nchi kama USA. Wale hata kama nchi yao kubwa, lakini miundo mbinu yao ipo imara na ya kisasa kiasi cha kuifanya nchi yao kuonekana kama kijiji kimoja. Kwamba rais anapata taarifa za kusadikika za pembe zote za nchi ndani ya muda mfupi sana.
Akitaka anaweza kuzunguka nchi yote ndan ya siku moja, ukija Afrika na nchi kubwa kama Bongo, rais kusafiri tokea Dar hadi Morogoro anasababisha mafoleni kote kote. Kuna siku msafara uituondoa njiani hapo, ikabidi tusubiri hadi mkulu apite. Juzi nimekua hapo kwenu, umeme balaa kisa mvua imenyesha siku mbili, jameni Dar mji mkubwa wa biashara umeme unakatika siku nzima.
Magari ya kwenda mikoani ikashindwa kusafiri kisa daraja limebomoka, Afrika bado sana, tena nadiriki kusema bao.... Leo hii mnajishaua kuhangaika na treni za umeme lakini watu kwenye miji mikubwa wanakatikiwa na umeme kutwa nzima.
Hiyo unayoiongelea ni Presidential System with Position of PM kama yetu. Wanachojadili ni kuwa na Parliamentary System kama ya Israel.Sasa kwa nini katiba mpya haikuacha nafasi ya PM kama ilikuwa nzuri?
Sababu za kuiondoa zilikuwa zipi?