Uchaguzi 2020 Update kutoka Monduli kwenye uzinduzi wa kampeni za mtoto wa Lowassa

Uchaguzi 2020 Update kutoka Monduli kwenye uzinduzi wa kampeni za mtoto wa Lowassa

rajab degi

Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
7
Reaction score
5
Fred Lowassa mgombea wa Ubunge Jimbo la MONDULI kwa tiketi ya chama Cha mapinduzi(CCM) ,Leo anaanza rasmi kampeni zake za ubunge kwa Jimbo Hilo la Monduli.

Na hizi ni update za picha katika Mkutano wa Kampeni za Jimbo la Monduli - Viwanja vya Barafu, Kata ya Mto wa Mbu. (02/09/2020)

IMG-20200902-WA0020.jpg
 
Niko uwanja wa barafu hapa pembeni ya jengo jipya jeupe Ila watu wengi wameletwa kwa magari, wenyeji wapo bize na maisha yao
 
Kwa nini mkuu umecheka....
Najaribu kufananisha na mikutano ya ng'ambo ile
Alikuwa anaelekea kwa mkutano au anarudi au yupo kwa mkutano?
Amekosa malori ya mifugo sorry ya watu kusindikiza
Hii dunia hii tunajifunza mengi
 
Jana tumekesha double (sebuleni) wengine sango, wengine safari park, wengine scorpion na labrina tukila pesa ya mzee wa kutetemeka.
 
- Mtoto wa Lowasa
- Mtoto wa Kikwete
- Mtoto wa Pinda
- Mtoto wa Mwinyi

CCM ina wenyewe asee
 
Najaribu kufananisha na mikutano ya ng'ambo ile
Alikuwa anaelekea kwa mkutano au anarudi au yupo kwa mkutano?
Amekosa malori ya mifugo sorry ya watu kusindikiza
Hii dunia hii tunajifunza mengi

Kwa vyovyote vile leo ubwabwa na malori ya kusafirisha watu yamekosekana.....
 
Back
Top Bottom