rajab degi
Member
- Sep 11, 2015
- 7
- 5
Sorry! Nimecheka tuFred Lowassa mgombea wa ubunge Jimbo la MONDULI kwa tiketi ya chama Cha mapinduzi(CCM) ,Leo anaanza rasmi kampeni zake za ubunge kwa Jimbo Hilo la monduli.
Na hizi ni update za picha katika Mkutano wa Kampeni za Jimbo la Monduli - Viwanja vya Barafu, Kata ya Mto wa Mbu. (02/09/2020)
View attachment 1556385View attachment 1556384View attachment 1556388View attachment 1556386View attachment 1556387View attachment 1556389
Sorry! Nimecheka tu
Najaribu kufananisha na mikutano ya ng'ambo ileKwa nini mkuu umecheka....
WakomeJulius karanga ana huzunika Sana anajuuta kuifahamu ccm.
Najaribu kufananisha na mikutano ya ng'ambo ile
Alikuwa anaelekea kwa mkutano au anarudi au yupo kwa mkutano?
Amekosa malori ya mifugo sorry ya watu kusindikiza
Hii dunia hii tunajifunza mengi