Update mpya Application ya WhatsApp

Joined
Aug 5, 2019
Posts
64
Reaction score
93
WhatsApp imeanzisha utaratibu wa kutuma sauti (voice note) ambayo mtumiwaji ataweza kuisikiliza mara moja tu (listen once) kama ambavyo ilivyo kwenye picha (view once).

Ni maendeleo mazuri ya kiteknolojia lakini nadhani inaweza kutumiwa kama chombo cha kumtukana mtu mwingine kwa maneno na mkosaji anaweza kuondoka bila shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…