update mpya za google for bloggers!! asee njooni hapa ni dharula

Dejong031

Member
Joined
Jun 7, 2020
Posts
92
Reaction score
96
wazee wa kazi nimesikia google wanafaya mabresho yao kwenye searching engine algorithm, mwenye kuelewa vizuri hii issuee, maana wanasema wale wanaoblog kachumbari, wanakula ban, wanaopost maelezo yasioeleweka kisa kuvutia watu wanakula ban na mengine mengi tu... nakaribisha hoja
 
Haihusiani na Matangazao. Inahusu SEO Results
 
Vijana tuache mihadarati hii nchi nahisi haiendelei kwa kwa sababu ya hawa watu..
 
wazee wa kazi nimesikia google wanafaya mabresho yao kwenye searching engine algorithm, mwenye kuelewa vizuri hii issuee, maana wanasema wale wanaoblog kachumbari, wanakula ban, wanaopost maelezo yasioeleweka kisa kuvutia watu wanakula ban na mengine mengi tu... nakaribisha hoja
Kama unatengeneza QUALITY CONTENT bila kuvunja terms za google huna haja ya kuhofia algorithm updates.
 
Hii update imeanza kuroll tangu tarehe 25, na itachukua wiki kukamilika. Kama kwenye site yako umeshaanza kuona impact (whether positive or negative) kwenye Google organic traffic ujue basi ni hii update.

Lengo kuu la hii update google wanataka watu waandike for human beings not for search engines.

Kama unaandika quality content for human beings na sio kuandika ilimradi umeandika, you are SAFE.
 
Back
Top Bottom