UPDATE nafasi za kazi Tanzania Social Action Fund (TASAF)

UPDATE nafasi za kazi Tanzania Social Action Fund (TASAF)

elly2012

Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
12
Reaction score
0
Wadau mwenye update za nafasi za kazi Tanzania Social Action Fund (TASAF) atujuze basi.deadline ilikua 17th August, 2012 16:00hrs
 
Mkuu naomba tuendelee kuwa wavumilivu mi mwenyewe niliapply lakini naona bado wapo kimya.
 
mh kwl hii nchi inaelekea kuzikwa kabisa mtu deadline tokea august 12 hadi leo hii hamna cha shortlisting wala nn kisa applicants wengi¿¿¿hamna kama hawajapeana hzo nafasi sjui hata kama wakiita ni chenge za macho tu.....tuwe wapole mabibi na mabwana
 
wakati unasubiria endelea kutafuta kwingine maana unaweza kusubiria hadi mwakani usisikie unaitwa
 
Back
Top Bottom