Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,869
- 787
Wadau
Mtakumbuka nilishawasilisha hapo awali.Bado sijapata serious supplier wa Refined Sunflower Oil kwa ajili ya soko la kimataifa ,hii ni fursa ambayo bado iko wazi na ninavyochelewa huenda wengine wakaitumia. Vilevile nimepata wateja wa nazi (coconut) kwa ajili ya soko la nje...Tafadhali mwenye uzoefu au ambaye tunaweza kushirikiana kwa namna yeyote tuwasiliane.
PS..Kwa wale tuliokwisha wasiliana taratibu zinaendelea kama tulivyoongea.
1.2000 MT or more1. Qty required? (in tonnes)
2. Quality..?
okayWill revert soon kama ni possible.
Nawacheck wadau...
kiasi kikubwa kwa mwaka mzima kama tani 5000....ukinipa bei nzuri tutafanya biasharaKwa NAZI wahitaji kiasi gani, na kwa bei gani mkuu
Murzah wanakamua kwa watu baki tofauti na product zao?????Kwanini usinunue alzeti kisha upeleke murza wakutengenezee?
mafuta ya Alizeti....nazi niambie wewe unauzajeUnaitaji mafuta au alizeti,na unanunua kwa bei gani alizeti?na nazi unanunua bei gani?
Mafuta ya Alizeti....niambie bei yako....yanahitajika kwa wingi na wateja tofauti tofauti..tatizo ni quaity tuMkuu eleza vizuri unataka mafuta au alizeti kama ni mafuta tunaweza kufanya biashara.unataka tani ngapi kwa mwaka na unanunua shillingi ngapi?
Mkuu naona kama umeleta Neema humu lkn maelezo bado Naomba msaada wako....kwa mfano kuhusu NAZI zinatakiwa zaaina Gani kwa maana ya ukubwa..bei nk....Utakuwa umetusaidia wengi lkn ukisema tu Quality inaweza isieleweke sanamafuta ya Alizeti....nazi niambie wewe unauzaje
pureified kabisaNa je mafuta wataka purified kabisa??