mimi walinitumia email ilikuwa end of Feb, waliniuliza my salary expectations before they make the final hiring decisions.
nikawajibu but sijawasikia tena.nadhani nilikuwa na higher expectations..
Labda ujaribu kuwa e-mail au kuwapigia uwaulize.
Good Luck!