K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,780 Reaction score 15,488 Nov 18, 2025 #1 Update sofware kichwani mwako kama bado unafikiria tatizo ni Chadema! Maana kuna watu bado wanajidanganya mpaka leo. Sasa wapinzani wa Tanzania ni watanzania wenyewe na hawana chama wala nini lakini wana maumivu yanayo fanana
Update sofware kichwani mwako kama bado unafikiria tatizo ni Chadema! Maana kuna watu bado wanajidanganya mpaka leo. Sasa wapinzani wa Tanzania ni watanzania wenyewe na hawana chama wala nini lakini wana maumivu yanayo fanana
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 6,772 Reaction score 15,651 Nov 18, 2025 #2 Na ole wake hao chadema waje watuambie ujinga wa maridhiano. Atakayeleta proposal ya maandamano tutamkaanga vizuri.
Na ole wake hao chadema waje watuambie ujinga wa maridhiano. Atakayeleta proposal ya maandamano tutamkaanga vizuri.