UPDATE: Uranium ilipotea Libya yapatikana katika Mpaka wake na Chad

UPDATE: Uranium ilipotea Libya yapatikana katika Mpaka wake na Chad

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Vikosi vya Kijeshi mashariki mwa Libya vinasema kuwa wamepata takriban tani 2.5 za madini ya Uranium, karibu mwa mpaka wa Nchi hiyo na Chad, ambayo yaliripotiwa kupotea na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki
-
Mnamo Machi 16, 2023, Shirika hilo lilitoa tangazo la tahadhari baada ya wakaguzi wake kukosa madini hayo katika eneo yalimokuwa yamehifadhiwa, wakihofia hatari ya mionzi na kutengenezwa silaha za nyuklia
......................................

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya nyuklia linasema kuwa linajaribu kutafuta karibu Tani 2.5 za madini ya 'Uranium' ambayo yametoweka katika eneo ambalo haliko chini ya udhibiti wa serikali ya Libya

Imeelezwa kuwa wakaguzi waligundua kuwa madumu 10 yaliyokuwa na madini hayo ambayo hutumika kutengeneza Silaha za Nyuklia hayaonekani katika ghala yalimokuwa yamehifadhiwa

Wakaguzi hao wanahofia kuwa Uranium hiyo inaweza kusababisha hatari ya kimionzi na wasiwasi wa usalama wa nyuklia
......

The UN's nuclear watchdog says it is trying to locate around two and a half tonnes of uranium that has gone missing from a site in Libya not under government control.

The International Atomic Energy Agency said its inspectors found that 10 drums containing uranium ore had disappeared when they visited the undisclosed site on Tuesday.

They are now trying to establish what happened and how the nuclear material was removed.

Inspectors fear the uranium could pose a radiological risk as well as nuclear security concerns.

They had intended to visit the location last year, but the trip had to be postponed because of fighting between different Libyan militias.

Chanzo: BBC
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya nyuklia linasema kuwa linajaribu kutafuta karibu Tani 2.5 za madini ya 'Uranium' ambayo yametoweka katika eneo ambalo haliko chini ya udhibiti wa serikali ya Libya.

Imeelezwa kuwa wakaguzi waligundua kuwa madumu 10 yaliyokuwa na madini hayo ambayo hutumika kutengeneza Silaha za Nyuklia hayaonekani katika ghala yalimokuwa yamehifadhiwa.

Wakaguzi hao wanahofia kuwa Uranium hiyo inaweza kusababisha hatari ya kimionzi na wasiwasi wa usalama wa nyuklia.

..........

The UN's nuclear watchdog says it is trying to locate around two and a half tonnes of uranium that has gone missing from a site in Libya not under government control.

The International Atomic Energy Agency said its inspectors found that 10 drums containing uranium ore had disappeared when they visited the undisclosed site on Tuesday.

They are now trying to establish what happened and how the nuclear material was removed.

Inspectors fear the uranium could pose a radiological risk as well as nuclear security concerns.

They had intended to visit the location last year, but the trip had to be postponed because of fighting between different Libyan militias.

Chanzo: BBC
 
Inhekuwa madawa ya kukevya wangekamatwa zamani ila hili la uranium ni mchezo wao wazungu.

Kwani nani Africa anauwezo wa kutengeneza mabomu.

Kuna watu wanakuja na makamera eti wanapiga picha ndege wetu wazuri kumbe ni wataalamu na wafanyabiashara wazuri sana wa mambo haya.
 
Iran
CIA
FSB
MSS
Mossad

Mmoja kati ya hawa ndiye ana huo mzigo
 
Back
Top Bottom