Update yanayojiri mgomo wa wafanyabiashara tanzania

Update yanayojiri mgomo wa wafanyabiashara tanzania

sitagliptin

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2023
Posts
1,208
Reaction score
2,525
Wanajukwaa habari,
Naomba tupeane taarifa za maneo yetu ambayo tayar mgomo umechukua sura mpya

Tukiangazia dar
Leo siku ya pili
Huku mwanza nao wakianza leo
Mbeya wao wametisha zaid kwan baadhi yao wameamua kucheza mpira mbele ya maduka yao

Vipi hari ya mtaani kwako?
 
Kumekucha
 
njaa ikiwauma watafungua tu na wakianza kudaiwa marejesho watafungu awala hakuna haraka nao
 
Wewe mbona unaandika kama Chalamila hivi hivi unajua kariakoo inaweza kutingisha uchumi vizuri tu wa nchi? Unafikiri kariakoo ni kama genge la mtaani kwenu
NASEMA HIVIIIII HAO MAREJESHO YAKIANZA WATAFUNGUA TUUU HARAKA YA NINI?
 
Mbeya Leo wamepitiliza hadi wauza samaki hawapo, sisi wenye watoto wa shule mbona shida sasa
 
Nimepita Mwanza, maduka yote makubwa, milango imefungwa. Huoni mtu yeyote. Kuna baadhi ya viduka vidogo vyenye bidhaa chache, vichache sana, kuna baadhi ya maeneo, vipo wazi.

Naona wafanyabiashara wamefanimiwa kutekeleza walichokusudia.

Uwezekano mkubwa, kesho tutasikia mikoa mingine nayo ikizidi kujiunga na mgomo huu.

Naona watu wanaanza kujitambua, hawataki ubabaishaji.
 
njaa ikiwauma watafungua tu na wakianza kudaiwa marejesho watafungu awala hakuna haraka nao
Wewe nadhani u aongelea machinga. Hakuna mfanyabiashara anayeweza kukosa chakula hata asipokuwa na mauzo hata kwa miezi kadhaa. Na wafanyabiashara hasa hawana mikopo ya marejesho ya kila mwezi.

Hivi mtu ambaye ana pesa taslim labda milioni 500, ni lini atakosa hela ya chakula? Kwa mwezi anakula chakula cha shilingi ngapi, hadi akose mlo kwa sababu ya kukosa mauzo.
 
na akifunga si watu watenda kuknunua sehemu nyingine unafikiri kila mtu anafunga
 
Wanajukwaa habari,
Naomba tupeane taarifa za maneo yetu ambayo tayar mgomo umechukua sura mpya

Tukiangazia dar
Leo siku ya pili
Huku mwanza nao wakianza leo
Mbeya wao wametisha zaid kwan baadhi yao wameamua kucheza mpira mbele ya maduka yao

Vipi hari ya mtaani kwako?
Naweka kituo hapa
 
Back
Top Bottom