sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,208
- 2,525
KumekuchaWanajukwaa habari,
Naomba tupeane taarifa za maneo yetu ambayo tayar mgomo umechukua sura mpya
Tukiangazia dar
Leo siku ya pili
Huku mwanza nao wakianza leo
Mbeya wao wametisha zaid kwan baadhi yao wameamua kucheza mpira mbele ya maduka yao
Vipi hari ya mtaani kwako?
Wewe mbona unaandika kama Chalamila hivi hivi unajua kariakoo inaweza kutingisha uchumi vizuri tu wa nchi? Unafikiri kariakoo ni kama genge la mtaani kwenunjaa ikiwauma watafungua tu na wakianza kudaiwa marejesho watafungu awala hakuna haraka nao
NASEMA HIVIIIII HAO MAREJESHO YAKIANZA WATAFUNGUA TUUU HARAKA YA NINI?Wewe mbona unaandika kama Chalamila hivi hivi unajua kariakoo inaweza kutingisha uchumi vizuri tu wa nchi? Unafikiri kariakoo ni kama genge la mtaani kwenu
Kama serikali ingefikiri kama wewe basi wasingeenda mbio mbio hukoNASEMA HIVIIIII HAO MAREJESHO YAKIANZA WATAFUNGUA TUUU HARAKA YA NINI?
Wewe nadhani u aongelea machinga. Hakuna mfanyabiashara anayeweza kukosa chakula hata asipokuwa na mauzo hata kwa miezi kadhaa. Na wafanyabiashara hasa hawana mikopo ya marejesho ya kila mwezi.njaa ikiwauma watafungua tu na wakianza kudaiwa marejesho watafungu awala hakuna haraka nao
Hata mie nimeona. Kumbe Installer, makazi ni Mza?Mwanza maduka yamefungwa
na akifunga si watu watenda kuknunua sehemu nyingine unafikiri kila mtu anafungaWewe nadhani u aongelea machinga. Hakuna mfanyabiashara anayeweza kukosa chakula hata asipokuwa na mauzo hata kwa miezi kadhaa. Na wafanyabiashara hasa hawana mikopo ya marejesho ya kila mwezi.
Hivi mtu ambaye ana pesa taslim labda milioni 500, ni lini atakosa hela ya chakula? Kwa mwezi anakula chakula cha shilingi ngapi, hadi akose mlo kwa sababu ya kukosa mauzo.
Hapana mkuu nimekuja kupambania ugali, ndani ya wiki mbili hizi ntageuza mjiniHata mie nimeona. Kumbe Installer, makazi ni Mza?
Jiji linakusanya wengi. Nami nipo kanda ya Ziwa mpaka mwisho wa mwezi.Hapana mkuu nimekuja kupambania ugali, ndani ya wiki mbili hizi ntageuza mjini
Naweka kituo hapaWanajukwaa habari,
Naomba tupeane taarifa za maneo yetu ambayo tayar mgomo umechukua sura mpya
Tukiangazia dar
Leo siku ya pili
Huku mwanza nao wakianza leo
Mbeya wao wametisha zaid kwan baadhi yao wameamua kucheza mpira mbele ya maduka yao
Vipi hari ya mtaani kwako?
Gomeni hata wiki tuone kama mna hela za kulisha Watoto wenu.Wanajukwaa habari,
Naomba tupeane taarifa za maneo yetu ambayo tayar mgomo umechukua sura mpya
Tukiangazia dar
Leo siku ya pili
Huku mwanza nao wakianza leo
Mbeya wao wametisha zaid kwan baadhi yao wameamua kucheza mpira mbele ya maduka yao
Vipi hari ya mtaani kwako?