Wabebwaji FC mmekuja kufanya nini hukuVAR FC hawaleti update mpaka waongoze
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Tunagonga mpira ile mbaya aiseeeeeMagoli safi hayana utata, sio kama wale jamaa wa kubebwa! Daima mbele nyuma mikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipuli wamezurumiwa goal lao
Update zinakuja muda wote mkuu, Mashabiki wa yanga Sio Jobless kama wa Simba[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]Update za uoga uoga, ....uzi wa mashaka mashaka .....