Update Yanga Sc VS Lipuli Taifa

Dah, sijaona wale viherehere kuzungumzia maamuzi ya refa leo..!
Achana nao, bundle zenyewe hawana huoni uzi wa mechi yao mchangiaji ni Zero IQ peke ake, akili zao zinalingana na hali zao. Mechi Lipuli kanyongwa wazi wazi lkn kwa vile Wanasimba wanastaha zao huwez sikia mtu anabwabwaja ujinga. Yupo hapa jukwaani mwingine anaitwa GIDE kapotea gafla. Anajua kupepeta mdomo zaidi ya zumar lkn leo kimiaaaa.
 
yanga mechi nyingi anabebwa ila kwa sababu simba hawafatilii mechi zao wao ndio wanabaki wanapiga kelele na waandishi habari njaa goli limeingia line2 anasema kona ila yamekaa kimya inaonekana var yao inafanya kazi kwenye mechi za simba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…