Nawasalimu kwa jina la Bwana wanajf, naombeni kujuzwa kuhusu interview tuliofanya MWANZA Tanroads trh 28/11/2012 kama majibu yameshatoka, nawasilisha kwenu ndugu zangu naombeni msaada.
Mkuu nami nlifanya cashier lakini sijajua kinachoendelea,ila that day nlimuuliza yule mama alotusimamia akasema watapiga simu kwa wale watakao wahitaji. Omba Mungu pia sana. Nawasilisha.