Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
bado kuanza kazi barua nyingi zimeandikwa 1/1/2012...ila session ndo ishakwisha tenaOpen university nadhan sasa washaanza kupiga mzigo so m2 wang pole huko kwingine bado cjapata info.
kwa maana hiyo watu walishapewa barua?bado kuanza kazi barua nyingi zimeandikwa 1/1/2012...ila session ndo ishakwisha tena
ndio na zisharudishwa kwenda hazina/utumishi....kwa maana hiyo watu walishapewa barua?
walizip[ost au walipigiwa cm wakachukue?ndio na zisharudishwa kwenda hazina/utumishi....
simu muzeewalizip[ost au walipigiwa cm wakachukue?