Isije ikawa ulisikia ahadi za kikwete alizokuwa anamwaga kama hana akili ili kuwadanganya watz wampe kura mwezi October 2010. Kama ni hizo ahadi fahamu kwamba lilikuwa changa la macho, maana hata sisi wa Kigoma na Bukoba hatujapata international airport tulizoahidiwa.