UPDATES 2: Kutoka Don Bosco Semina kubwa ya Karate Afrika Mashariki, Kati na Kusini inaendelea

UPDATES 2: Kutoka Don Bosco Semina kubwa ya Karate Afrika Mashariki, Kati na Kusini inaendelea

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
338
Reaction score
180
Leo ni siku ya pili ya semina ya Shotokan Karate kwa nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini ambayo inaendelea hapa Don Bosco chini ya Shihan Koichiro Okuma Sensei (6th Dan) kutoka Japan.

Tayari ameingia na makarateka wanajiandaa.

Idadi inazidi kuongezeka, kwani leo makarateka kutoka Zanzibar nao wamefika.
View attachment 399313
View attachment 399312
View attachment 399311

Mambo yanaendelea, watu wanapata maelekezo kidogo hapa.
View attachment 399327 View attachment 399327

Duh, chakula kinahitajika hapa:
View attachment 399330 View attachment 399331 View attachment 399332 View attachment 399333 View attachment 399334 View attachment 399335 View attachment 399336 View attachment 399337 View attachment 399338

Sasa ni mafunzo ya waamuzi kwa Black Belts:
Gasshu1.jpg
Gasshu2.jpg
Gasshu3.jpg
Gasshu4.jpg
Gasshu5.jpg
Gasshu6.jpg
Gasshu7.jpg
Gasshu8.jpg
Gasshu9.jpg
Gasshu10.jpg
 
Back
Top Bottom