Updates Ajira za Ualimu (Hii imekaaje Wadau??)

Halmashauri waalimu (hasa wa msingi) ndio wasaidizi wa ccm katika wizi wa kura na ndio husaidia kujaza uwanja siku viongozi wa ccm wakiwa na mkutana. Inshort waalimu ndio kada pendwa ya ccm.

NB: napenda sana walimu ila huo ndio ukweli huko halmashauri.
 
Walio kuwa shortlisted ni walimu daraja la iii A ,, ambao ni elimu ya awali

Walimu daraja la iii C ambao ni degree nadhani bado hawajasnza kuwa shortlisted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…