Ilongailunga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 1,388
- 896
Barca siku hizi wanafungika, dawa ni kujaribu kuwazuia wasifunge mengi maana kufunga lazima wafunge! Ila nao kamba zao zinagusika vizuri sana! Hawana defence!
Duh! hapo kwa Arsenal vs Barca ndio shughuli pevu haswaaa!
Zamani hyo, beki ipo makini ndio maana Madrid walifurukuta. Then arda Turan na Aleix Vidal watakuwepo. I hope na Rafinha atakuwa fit