Updates from HESLB

Updates from HESLB

shemweta91

Senior Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
101
Reaction score
18
habari wana jamvi... samahani ningeomba mtujuze kwa wale mlioenda kwenye maandamano ya amani kule bodi na TAMISEMI maana sisi wengine tuko mbali na mji na pia wengine nadhani wameshindwa kufika tuu kwa sababu ya kukabwa na majukumu ama na sababu zingine zisizoweza kuzuilika..hivyo naomba mtujuze maana tuko pa,oja na tunawaunga mkono kwa lolote lile...poleni na ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom