Updates: Kukamatwa kwa Wanachama wa CHADEMA Kanisani Mwanza

Hata sikuelewi
Nimekuuliza wapi uliona raisi kavaa kijani kanisani
Unaniletea habari za wajinga,

Ccm wakifanya upumbavu na nyie mnaiga upumbavu huo.

Nacho pinga ni siasa (haijalishi ni chama gani) ndani ya kanisa (bilakujali ni kanisa/zehebu gani).

..hata asipovaa kila mtu anajua ni ccm na anazungumza kwa niaba ya ccm.

..sasa kama miaka na miaka ni nyinyi tu anaohutubia makanisani na misikitini kwanini mnafura chadema au chama kingine wakionekana ktk nyumba za ibada?
 
Mkuu!
Mapinduzi ni gharama
Ya uhai, muda na pesa
Upinzani mmejianda kwa gharama ipi.

Potelea mbali siasa za kiafrika ni unafiki tu.
 
Sare za Chadema na kanisan wapinawapi.C tumeamua tusichanganye siasa na Dini? Yaan hao walitenda makosa wakaamua kukimbilia kanisan bila haya uyo kiongoz wa dini akaamua kuwatetea
 
Hata sikuelewi
Nimekuuliza wapi uliona raisi kavaa kijani kanisani
Unaniletea habari za wajinga,

Ccm wakifanya upumbavu na nyie mnaiga upumbavu huo.

Nacho pinga ni siasa (haijalishi ni chama gani) ndani ya kanisa (bilakujali ni kanisa/zehebu gani).
Kinacholalamikiwa hapa ni polisi kuingia kanisani wakati wa ibada na kukamata watu ambao wamevaa nguo za aina fulani na wanao muombea mtu wao. Huo ni uonevu kwa sababu hamna sheria waliovunja. Wenye mamlaka ya kuweka dress code ni wenye kanisa na si mwingine. Viongozi wa kanisa waliisha toa tamko kuwa uvaaji wa nguo za kisiasa hauzuiwi kanisani. Ni kawaida kwa kikundi fulani kuvaa nguo zinazo watambulisha wakati wanaombea jambo linalowahusu, k.m. kikundi cha wakina mama n.k. Kuwanyima haki hii sio ishara nzuri.

Amandla...
 
Akimalizana na Chadema atakutafuta wewe au ndugu yako

Hapo ndio utajua dikteta hana undugu

Wewe endelea kukenua mimeno tu
Mnatumia maneno makali pasipo na uhakika! Kila kiongozi asiyekubaliana nanyi mnamuita dikteta! Huyu kama ana udikteta upi? Mnafundishwa uzuzu na zuzu kuu Tundu Lissu na kutishia nyau na ICC! Acheni utoto
 
Sare za Chadema na kanisan wapinawapi.C tumeamua tusichanganye siasa na Dini? Yaan hao walitenda makosa wakaamua kukimbilia kanisan bila haya uyo kiongoz wa dini akaamua kuwatetea
 
Mpwa wanajitoa tu ufahamu, usifikiri kuwa hawajui
 
Hata sikuelewi
Nimekuuliza wapi uliona raisi kavaa kijani kanisani
Unaniletea habari za wajinga,

Ccm wakifanya upumbavu na nyie mnaiga upumbavu huo.

Nacho pinga ni siasa (haijalishi ni chama gani) ndani ya kanisa (bilakujali ni kanisa/zehebu gani).
Wewe ni mjinga! Jitoe ufahamu tu

Wakimalizana na upinzani watawageukia nyie
 
Utter nonsense
 
Jeshi la Polisi Tanzania waache kutumiwa na CCM , hawaoni wenzao huko Zambia vyombo vyao vya dola vya ulinzi na usalama vilikataa kutumika vibaya na chama tawala kilichongolewa tarehe 12 August 2021.
Kiutaratibu au kimfumo chama tawala kikishindwa tu uchaguzi mara moja chama hicho hubadilika kuwa chama pinzani. Hivyo vyama vya upinzani Tanzania mwenzao kwa nchi ya Zambia ni chama kilichoshindwa na siyo chama kilichoshinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…