Watanzania wenzangu naomba taarifa yoyote mpya kutoka HESLB kwa mwenye nayo juu ya rufaa zetu.Nashukuru
Watanzania wenzangu naomba taarifa yoyote mpya kutoka HESLB kwa mwenye nayo juu ya rufaa zetu.Nashukuru
Aaah! Kama ni hizo mkuu nimekuelewa na una haki ya kujua!!MANJAGATA,ni zile apeal.Haya,ngoja niwe mpole.
Watanzania wenzangu naomba taarifa yoyote mpya kutoka HESLB kwa mwenye nayo juu ya rufaa zetu.Nashukuru
We KAGAMEE acha mawazo ya Kiny.r.n.d.a
Wazo gani tena jaman?unataka ulete ukabila mpaka JF?
Aaah! Kama ni hizo mkuu nimekuelewa na una haki ya kujua!!
Sijui kwa nini utendaji wa Bodi ya mikopo uko kivile bwana. Yaani kuna watu majina yametoka tangu mwezi uliopita kila wakiulizia kwa afisa wa mikopo hapa chuoni wanapambwa kwa maneno matamu tu bila utekelezaji (mara oh majina watu watasaini ijumaa mara oh sijui imekuwaje). Sijui serikali nayo ina hamu sana kushuhudia migomo maana naona zimepita siku nyingi hawajapambana na migomo ya kufa mtu!!
Pole sana mkuu,mwone loan officer wa chuoni kwako ingawa huwa inasumbua sana na kuchukua mda mrefu na wengine hukosa mpunga wa mwaka mzima.Mwombe MUNGU atafanya njiawadau naombeni muongozo kwa mtu ambae alishaendaga bord ya mikopo,cos mm nilifanya transfer mpaka sasa mpunga wangu aujanifata uku chuoni,wadau anaejua naomba procedure.
nikiwa nimejikoki - nenda na AK47 ikiwa na risasi,nahisi itakufaa.masaada kwaanaejua kitu gani kinaitajika ukienda bord kuonana, kufuata mkopo wangu umechelewa nulifanya transfer mwezi wa kumi.anaejua naomba anipe procedure ili niende nikiwa nimejikoki.