Elections 2010 Updates Kutoka Jikoni Igunga, saa 5 Usiku

Elections 2010 Updates Kutoka Jikoni Igunga, saa 5 Usiku

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
Wa Jikoni anatonya kwamba 'e CCM yajaga gete'.

Hawana pa kutokea.

Baadhi ya dondoo muhimu:

  1. Wamama (ambao CCM ndo ina amini ni majuha na mtaji wao) wana msemo wao "Tunakula CCM, tunalala Chadema".
  2. Vijana watiifu kutoka majimbo ya ukombozi, waliojitolea muda, hali, mali na maisha yao kuhakikisha Chadema kinaibuka kidedea uchaguzi mkuu uliopita, wako kazini Igunga kuhakikisha hachakachuliwi mtu.
  3. Mkapa kapata mapokezi finyu ya bajaji na pikipiki.
  4. Kuna kijiji bwana Makufuli alikwenda na kutoa ahadi hewa ya kujenga daraja, ambayo CCM wamekuwa wakiitoa miaka na miaka, but this time around, wananchi walimwambia 'hatudanganyiki,.
  5. kuna taarifa kwamba baadhi ya vijiji raia wanaikimbia mikutanio ya CCM.

Nawasilisha. Nalala.

Tuonane kesho wakati wa mnyukano wa mwisho.


Nimshukuru Wa Jikoni.
 
Tunashukuru kwa updates, tunawatakia heri jamaa wadhibiti kila aina ya njama kuwepo free and fair elections
 
Wa jikoni bwana duh!! Haya kila jema kesho ni kufunga kampeni sasa sijui .Mungu ibariki Tanzania na Chadema waangamize wezi tu ma CCM na wapambe wao CUF
 
CCM wanajua wanapoteza Igunga. Ndo maana wanampeleka mwizi wa kura Mkapa akaokoe jahazi kwa wizi.

Aliua Zanzibar anataka aue na Igunga.

This time atafulia tu.

Anatakiwa kupigwa mawe huyo.
 
akimbie nani? Hapa nyumbani ww piga kelele sana sababu ndo expiry time yako inakaribia
 
Nimeamshwa na mwanangu nipate updates usiku huu.Nashkuru sana.Na mwanangu wa miaka 4 anashkuru sana
 
Kwa hotuba aliyoitoa mh. ya mwisho wa mwezi sept, nishapata picha ya tukio zima, polisi watatumika!
 
kila la kheli makamanda huko tuko pamoja cdm juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
TUNA OMBEA AMANI ITAWALE KIPINDI CHOTE CHA ; Kufunga kampeni,
kupiga kura,
kuhesabu kura,
kutangaza matokeo,
kuyakubali matokeo
 
Back
Top Bottom