Elections 2010 Updates Kutoka Jikoni Igunga, saa 5 Usiku

Mungu ibariki Chadema, mungu ibariki Tanzania.
 
Mchuano ni mkali wandugu, lolote laweza kutokea. Tusitoe nafasi ktk pande yoyote. Ila tuwasihi hawa nduguzetu magamba wasiinitiate fujo halafu watoe lawama kwa wapinzani. MUNGU IBARIKI IGUNGA.
 
Mungu ibariki Chadema, mungu ibariki Tanzania.

Mkuu, Mungu ni wa wote, kwenye ili Mungu anatuachia viumbe vyake tutumie akili zetu alizotupa ndio zituongoze kwenye mambo yetu, binadamu sio kama Nyumbu!
 
Hapa ni nyumbani na hatutakimbia kamwe.peoplez power.
 
Me niko huku jikoni na ni kamanda wa operation kata ya Ziba ambayo ina vijiji v3..Hapa 2mewakaba magamba vilivyo na 2na ushind wa 93%...mkutano wa jana ulifunika balaa na ndo 2kawa 2memaliza kabisa.Huku kuna slogan Kashindye (CDM) ashinde,Kafumu (Magamba) afumuliwe na Mahona (Bi mdogo wa magamba) atakiona...Pipooooooooooooooooozi..
 
Napenda jinsi Chadema wanavyolia lia... ka' watoto vile!
 
Kwa wakati huu ambapo Wa-Tanzania Wana-Igunga wanaelekea kwenye kujiamulia hatima ya jimbo lao na uongozi wake mpya, je tutarajie idadi gani ya BASTOLA na silaha nyinginezo zitakazodandia kwenye viuno vya ma-kada wa vyama mbali mbali kiunoni, katika mazingira ya uchaguzi kama ambavyo chombo kama hicho kisichozoeleka wachoni mwetu sie Wa-Matumbi (ila kwa Wa-Somali ni kama Ndugu zetu Wa-Maasai na Sime tu) sawa na Ade Rage alivyojikuta kuparamiwa ghafla na hilo lipaja la kuku jukwaani????????????????



Magwanda msikimbie jamvi keshokutwa
 

mkapa tena kasahau nini pale ,Je Rastam mzee wa DOwans
 
JK Mwenyewe kafulia nataka leo aende huko kufunga kampeni, kama haendi ni ishara tosha kwamba tayari wamepoteza
 
Magwanda msikimbie jamvi keshokutwa
Kwani umeambiwa uchaguzi ni ugomvi, nyie ndiyo mnaoleta siasa za chuki, majungu na fitna. Niombacho mimi haki itendeke ili mshindi awe yule aliyestahili.
 
Wana Iguna msikubali kuvalishwa GAMBA JIPYA LA CHUMA, mtaendelea kuwa duni kimaendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…