Elections 2010 Updates Kutoka Jikoni Igunga, saa 5 Usiku

Magamba kwisha kazi yao...CDM iitumie siku ya leo kuhakikisha mawakala wanaotuwakilisha huko hawatumiwi na Magamba kuchakachua matokeo.
 
Raha sana yaani hata njaa sisikii hapa Igunga nitakula baada ya kutangazwa mshindi wetu wa Chadema wakati magamba watakapo ondoka na aibu zao patamu hapo wakuu.
 
Mwita25 mbona huna aman hivyo?
Andersonds, nimekuvulia kofia mkuu, umewezaje kugundua kuwa jamaa kageuza herufi za jina lake? Kwa hapo nimeamini wewe unasoma na kufikiri wakati mmoja...
 
Mkuu, Mungu ni wa wote, kwenye ili Mungu anatuachia viumbe vyake tutumie akili zetu alizotupa ndio zituongoze kwenye mambo yetu, binadamu sio kama Nyumbu!

Ni kweli Mungu ni wa watu wote. Ni kweli anatuachia sisi viumbe wake tutumie akili zetu alizotupa kwa sharti moja....tutii amri zake, tutende haki kwa watu wote, tuache dhulma, tuache zinaa, tuache ufisadi.. Mungu hapendi mtu mwovu, chama kiovu, shirika ovu, nchi ovu...kwasababu hutoa laana kwa makundi ya namna hiyo.

Mwisho, ritz nakushauri, nakuomba hiyo avatar ya wafu uibadili. Natanguliza shukran zangu.. Mimi ni CCM damu damu tangu wakati wa TANU Youth League
 
Pamoja na hilo muwe makini na uchakachuaji msije mkalia na kubaki kurekebisha makosa siku za usoni.
 
Sema Mwita25, nililumiss! Naona umekuja kinyumenyume; popobawa nini?
Mwita alifikiri huku ni FB umeshitukiwa, utabadili ID mpaka ukome, lakini utatambulika kwa matendo yako tu kwa jinsi yalivyo feki.
 
kila la kheri kamanda wetu,tunataraji ushindi wa kimbunga.
 
Wengine wamekamia kuiba kura kwelikweli, sasa sijui. Wataingiza maboxi ya kura usiku kwa nguvu. Ngoja tuone kama wameacha uwizi wa kura. Sisi Zambia tumeshaacha.
 
Mkuu, Mungu ni wa wote, kwenye ili Mungu anatuachia viumbe vyake tutumie akili zetu alizotupa ndio zituongoze kwenye mambo yetu, binadamu sio kama Nyumbu!
Mungu hawezi kuwabariki wezi,Mafisadi CCM,
Unless umetumwa hapa au unatafuta Mume wa kuwowa...
 
Mungu hawezi kuwabariki wezi,Mafisadi CCM,
Unless umetumwa hapa au unatafuta Mume wa kuwowa...

CDM-Kata kakasirika mpaka akili imehama anaropoka na bado kesho patakuwa hapatoshi humu JF mtakimbia wote
 
Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
CDM-Kata kakasirika mpaka akili imehama anaropoka na bado kesho patakuwa hapatoshi humu JF mtakimbia wote
Tutakimbia vp ilhal wana wali (Walembwende) mnajileta wenyewe humu ndani, Tunatwaaa Igunga then kinachofuata Tuna wa wowa wote Mnaotafuta Wanaume humu ndani
 
Nimeongea na wakazi wa Igunga, wengi wanasema kwa kweli kesho ni siku ya kuiadhibu CDM.
Wananiambia msidhani sisi wana Igunga ni wajinga kiasi hicho, hatuwezi kumpeleka Chui katika zizi letu lenye mbuzi.
Miaka yote hata kabla sijazaliwa hapa Igunga tumeishi kwa amani na upendo sikuwahi kuona vurugu kama hizi za kuwakata mapanga binadamu wenzao na kufanyiwa vitendo vya kinyama kumwagia watu Tindikali
 
CDM-Kata kakasirika mpaka akili imehama anaropoka na bado kesho patakuwa hapatoshi humu JF mtakimbia wote
najua si siku nyingi ntakula ban kwa ajili yako ila uelewe siku hiyo nitakudhalilisha kwelikweli maana data zako zote sasa ninazo
 
najua si siku nyingi ntakula ban kwa ajili yako ila uelewe siku hiyo nitakudhalilisha kwelikweli maana data zako zote sasa ninazo
Mkuu,huyo Jamaa anatafuta Mume tu, ni Asteria ndo zinamsumbua....Msamehe Bure huyo Bint
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…