mkuu kumbe tulikaa eneo mojaMambo yalivyokuwa section ya kwanza..
Hahhahaa.. Kweli mkuu??mkuu kumbe tulikaa eneo moja
Huwel gari imemuangusha naskia ilikata waya gani sijui akapigwa bao.. Ila babu noma aisee..Babu ni shida kakimbiza tena! Ila Dhiram Pandya atakuja kuwa shida ... ila hongera kwa STADO Team kurudi Shanto, Huwell na Davis Mosha
Huwell ni dereva mzuri ila itamchkua muda kidogo kuzoea hiyo gari ... ila akiizoea atasumbua sana!!anaweza kuwa hata bingwa wa East Africa.Huwel gari imemuangusha naskia ilikata waya gani sijui akapigwa bao.. Ila babu noma aisee..
Mkuu Jambazi mwenyewe yamenipitia juu juu tu, nilisikia ila nilishindwa kuyafatilia.. Ila naona babu kama kawaida kawakalisha vijana wake..Steph Curry Haya mashindano yamenipita vibaya sana... nimekasirika sana!
Babu kiboko! Watu wengi walijua Huwell anachkua kuna dogo tulibet 50k ... alikuwa anasema hamna naona Evo 9 ikatembea mbele ya Ford Fiesta prontoMkuu Jambazi mwenyewe yamenipitia juu juu tu, nilisikia ila nilishindwa kuyafatilia.. Ila naona babu kama kawaida kawakalisha vijana wake..