Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Pilikapilika za mjumuiko wa wachezaji nyota wa ligi ya kikapu nchini Marekani NBA zinaanza alhamisi tarehe 12 hadi jumapili 15 ya mwezi huu Februari.
Kwa sisi wapenzi wa mpira wa kikapu na ligi ya NBA tujumuike hapa kujadili na kupeana taarifa juu ya yote yanayojiri.
All Star ya mwaka huu itafanyika jijini New York nyumbani kwa Nets na Knicks.
Ratiba itakuwa kama ifuatavyo:
Ijumaa, Feb. 13
All-Star Celebrity Game 7 PM ET. (0300 jumamosi alfajiri kwa masaa ya Tanzania)
=== Game hii imeanza sasa: Live Stream: http://www.goatd.net/
WEST 59 (FT) 51 EAST
Rising Stars Challenge 0815 PM ET. (0515 jumamosi asubuhi kwa masaa ya Tanzania)

WORLD 121 (FT) 112 USA
Jumamosi, Feb. 14
Matukio ya siku hii yataanza 8:30 PM ET (0430 jumatatu alfajiri kwa masaa ya Tanzania) kwa tukio la kwanza na kuendelea.
=== Challenges za leo: Live Stream: http://www.goatd.net/103549/watch-2015-all-star-saturday-night
Shooting Stars (Tukio la kwanza): Team Bosh wins.
Skills Challenge (Tukio la pili): Patrick Beverley wins
Three-Point Contest (Tukio la tatu): Stephen Curry wins
Slam Dunk Contest (Tukio la nne): Zach LaVine wins
Sunday, Feb. 15
Hii ni siku ya mwisho na kutakuwa na mechi moja ikiwakutanisha manguli wa kikapu wa magharibi na wale wa mashariki.
All-Star Game 8:30 PM (0430 jumatatu alfajiri kwa masaa ya Tanzania)
WEST 163 (FT) 158 EAST
=== Game ya leo: Live Stream Link 1: http://www.goatd.net/103549/watch-2015-nba-all-star-game
Au
=== Game ya leo: Live Stream Link 2: http://www.goatd.net/103550/watch-2015-nba-all-star-game