Updates: NBA All Star Weekend 2015

Sprint NBA All Star Celebrity Game

WEST 42 (Q3) 37 EAST​
 
Maraha kama haya yanapatikana Marekani tu!!

Game za All Stars huwa zinakuwa broadcasted nchi nyingi za Ulaya na Far East...

Ila bongo hii kitu huwa inasomwa kwenye magazeti unless ufanye streaming...
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Dah! ahsante sana kwa kunistua Mkuu si unajua tena pilika pilika za sikukuu ya wapendanao? Yaani nakusoma hapa ndio nikahamisha channel na kuona hii makitu. Ahsante sana.

Nilidhani wadau mtakuwa around kutazama mbwembwe za Hart...

Wakati tukisubiri US vs The World...
 
Sprint NBA All Star Celebrity Game

WEST 59 (FT) 51 EAST​
 
Reactions: BAK
Dah! ahsante sana kwa kunistua Mkuu si unajua tena pilika pilika za sikukuu ya wapendanao? Yaani nakusoma hapa ndio nikahamisha channel na kuona hii makitu. Ahsante sana.

Haina shaka mkuu...

Valentine na all star basi burudani kabisa...
 
Reactions: BAK
Game za All Stars huwa zinakuwa broadcasted nchi nyingi za Ulaya na Far East...

Ila bongo hii kitu huwa inasomwa kwenye magazeti unless ufanye streaming...

Oh yeah....lazima zirushwe huko maana watu wengi hupenda kujua yaendeleayo Marekani.

Nadhani hata Bongo kuna stesheni kwenye DSTV ambazo huwa zinarusha. Mimi nimeshawahi kuangalia Monday Night Football (NFL) live nikiwa bongo kwenye ESPN kupitia DSTV. Ila ilikuwa ni usiku mnene.
 
Kevin Hart anapata votes za Sprint NBA All Star Celebrity MVP...

Ni tuzo yake ya nne na naona anatia mbwembwe kuwa eti anastaafu kucheza hizi game...

Kila mwaka ni yeye tu na kina LeBron, Kobe wanaoshinda uMVP...

Reactions: BAK
Jamaa anachekesha huyu dah!

Mimi kanifurahisha kuwa kashakuwa super star sana kama Kobe na LeBron hivyo inabidi tu atangaze kustaafu...
 
Reactions: BAK
Anachangamsha sana, hivyo mwakani anaweza kuombwa kuwepo kama kustaafu kwake ni kweli au ilikuwa ni dongo tu la kufurahisha umati uliokuwepo.

Mimi kanifurahisha kuwa kashakuwa super star sana kama Kobe na LeBron hivyo inabidi tu atangaze kustaafu...
 
Game ya pili kwa leo ni: World vs USA (BBVA Compass Rising Stars Challenge)
 
World 121 FT 112 USA

What a game...!!!
 
BBVA Compass Rising Stars Challenge MVP

Andrew Wiggins (Wolves + Canada)
 
nipo mkuu..tuko pamoja..this weekend ni murua...

Game ya US vs World ilikuwa nzuri sana...

Wale madogo wote wanne watakaokuwepo katika Dunk Contest walikuwepo...

Wamefanya game imenoga maana kila walipopata nafasi ya kukuna hawakulazia damu...

Ngoja tusubiri event ya baadaye...
 
Kevin Hart anapata votes za Sprint NBA All Star Celebrity MVP...

Ni tuzo yake ya nne na naona anatia mbwembwe kuwa eti anastaafu kucheza hizi game...

Kila mwaka ni yeye tu na kina LeBron, Kobe wanaoshinda uMVP...

Nimeeimiss hii game kwa sababu ya usingizi, nilikuwa na hamu kweli ya kumwona MVP Kevin Hart, nimekuja kuona clip aliyopigwa cross over na dogo wa kike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…