Updates: NBA All Star Weekend 2015

Dogo mzuri sana, halafu nilikuwa sijamstukia kabisa sasa nitaanza kumfuatilia.

Unajua kwa nini ulikuwa hujamstukia?

Ni kwa sababu si mcheza kikapu mzuri kivile.

Anaweza ku dunk kwa manjonjo tu lakini ikija kwenye fundamentals za basketball hafikii hata robo ya KD, LBJ, Tim Duncan, Tony Parker, na wengineo.
 
...Performance ya jana inaweza kumuongezea confidence kubwa sana na hivyo kujituma zaidi kwenye mazoezi kwa kujua kwamba "Yes I can". Pia ndiyo kwanza yuko 19 YO, hivyo akiamua kujituma the next five years anaweza kuwa mchezaji mzuri sana.

Unajua kwa nini ulikuwa hujamstukia?

Ni kwa sababu si mcheza kikapu mzuri kivile.

Anaweza ku dunk kwa manjonjo tu lakini ikija kwenye fundamentals za basketball hafikii hata robo ya KD, LBJ, Tim Duncan, Tony Parker, na wengineo.
 
Mimi Karata yangu naitupa kwa Korver

Mkuu naona jamaa kakuangusha...

Nilivyo predict ndivyo ilivyotokea kwa Klay na Curry kupeana challenge wao wenyewe mwishoni...
 
Bill Clinton in da house, #TeamEast
 
NBA TV hawaonyeshi live game kumbe!Kuamka kote usiku huu naambulia marudio ya NBA D-LEAGUE SLAM DUNK CONTEST.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…