Yap ingawa sina uhakika sana na speed,nipe link nifuate naweza kuwa na bahati.Una internet hapo ulipo?
Hivi kumbe Tamia bado wamo eenh...
Nilijua kashakuwa kibibi sasa...
Pau na Marc ndugu wa kwanza kuanza NBA All Star...
#TeamWest they are running away with this game.
naona East wanataka kufa mapema tu
This kid is magician to the basketball.. #Curry