upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Sasa hivi naona ni Hawks vs West lol...
Sasa hivi naona ni Hawks vs West lol...
umefanikiwa mkuu...
Kuna assist kampa James Harden aiseh,very skilled kid.
wanne mkuu...by the time naandika wote wanne walikuwepo ndani ya court
wanne mkuu...by the time naandika wote wanne walikuwepo ndani ya court
Yap mkuu nipo live nakula matangazo sasa hivi,nilifanikiwa kwa link hii Watch Live 2015 NBA All-Star Game nadhani ni ya kwanza kati ya zilembili.Asante sana
safi sana hii game
#TeamEast wamepunguza gap kubwa. Tuombe wasiruhusu #TeamWest kujenga gap kubwa kiasi kile.
hahah...ni nadra sana kumuona Nowitzki ka-dunk...