Updates: NBA All Star Weekend 2015

hii Q4 itakuwa ngumu...

East wanataka kufanya payback ya last time
..
 
Reactions: BAK
ile assist imenifanya nishike kichwa.. dogo si mchoyo kabisa ingawa hasimu wake wa MVP ni huyo Harden

hivi sasa ndio habari ya mjini,,,japo 3pt goal percentage ameshuka sana msimu huu lakini kwenye categories nyingi ameimprove stats zake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…