hivi all star weekend fashion show nani aliibuka kidedea???
Huyu Mmakonde vivazi vyake ni noma sana LOL!
West washashinda hapa.
It was nice having you guys,bye byeeee.
turudi sasa kwa second half ya nba season...
Shukrani kwa wadau wote tuliokuwa pamoja hapa...
Turudi sasa kwa second half ya NBA season...
Shukrani kwa wadau wote tuliokuwa pamoja hapa...
Mkuu naona jamaa kakuangusha...
Nilivyo predict ndivyo ilivyotokea kwa Klay na Curry kupeana challenge wao wenyewe mwishoni...
Duh,Ila Bellineli was a defending champion.