Nimefanikiwa Kukutana Na Mwana Jf Mmoja Wa Kiume Tumeongea Mengi Sana Kuhusu Changamoto Za Jf Na Mambo Kadhaa Ya Nchi It Was A Wonderful Day Nikamchokoza Kuhusu Id Yake Akacheka Sana Mpaka Anaingia Kwenye Vitz Yake Bado Anacheka.
[HASHTAG]#Kibo10[/HASHTAG] Hujasoma Thread Yangu Ya Awali Nilishatoa Maelezo Ya Jinsi Nitakavyokutana Na Mwana Jf Kwa Kutoa Ishara Niliyowataka Watoe Watakapofika Hotelini