Wanangu wa Mbeya bado hawajaliamsha bado?Saa 6 Mchana:
Hali katika mikoa yote inaelezwa kuwa shwari kabisa, ikiwemo miji mikubwa na majiji.
Kuna ongezeko la polisi kwenye makutano muhimu ya barabara, taasisi za serikali, na maeneo mengine ya kimkakati ikionekana kama njia ya kuchukua tahadhari katika Mikoa ya Dar, Mbeya, Dodoma na Arusha.
Shughuli zinaonekana kuendelea kama kawaida shuleni, sokoni, vituo vya mafuta, ofisi za serikali, nk.
Mwanza ipi maana mi nipo city centre hapa.Inasemekana mwanza kimenuka mwenye talifa atujuze kwa kina huko
huku ndio tumemaliza ibada ya kinafiki muda huu,Saa 6 Mchana:
Hali katika mikoa yote inaelezwa kuwa shwari kabisa, ikiwemo miji mikubwa na majiji.
Kuna ongezeko la polisi kwenye makutano muhimu ya barabara, taasisi za serikali, na maeneo mengine ya kimkakati ikionekana kama njia ya kuchukua tahadhari katika Mikoa ya Dar, Mbeya, Dodoma na Arusha.
Shughuli zinaonekana kuendelea kama kawaida shuleni, sokoni, vituo vya mafuta, ofisi za serikali, nk.
Saa 12 asubuhi:
Barabara ya Mbezi/Kimara kuelekea Ubungo, Magomeni, Kariakoo, Kituo Kikuu cha Polisi, Posta hali ni shwari, polisi wameongezeka lakini shughuli zinaendelea, hakuna vizuizi. Kituo cha Magufuli na Mwendokasi vinafanya kazi kama kawaida. Magari yameripotiwa kuwa machache na movement ni ndogo, lakini usafiri bado unapatikana.
Polisi wapo wa kitosha lakini hakuna ghasia zozote, pia kuna magari kama saba hivi maeneo ya Coco Plaza.
Sina ushilika na washakunaku aka wauwaja wa mo29Mwanza ipi maana mi nipo city centre hapa.
Hakuna jambo lolote, mnajipa moyo tu.Hakuna Mtanzania atakayekubali ujinga wenu tena. Enough is enough. Labda wale ma house boy na ma house girl wanane wa wajerumani waliojikusanya kule ujerumani jana.Inasemekana mwanza kimenuka mwenye talifa atujuze kwa kina huko
Ahahahahaha! Ulitaka kuwapa watu matango pori! Pumbavu!!Sina ushilika na washakunaku aka wauwaja wa mo29
Kiwango chako cha ujinga kimewazidi wajinga wote hata madelu hakufikiiAhahahahaha! Ulitaka kuwapa watu matango pori! Pumbavu!!
Ahahahahaha! Wewe umbuka tu. Mwanza pametulia tuliii! Nilikuwa mjini kati. Nikaenda Igoma na Kisesa. Nimepigia Kishiri Sasa hivi nipo Buhongwa. Pote papo shwari kabisa!Kiwango chako cha ujinga kimewazidi wajinga wote hata madelu hakufikii
Tafuta wa kuwadanganya. Labda Mwanza ya CHADEMAMwanza ipi maana mi nipo city centre hapa.
Zuzu timeAhahahahaha! Wewe umbuka tu. Mwanza pametulia tuliii! Nilikuwa mjini kati. Nikaenda Igoma na Kisesa. Nimepigia Kishiri Sasa hivi nipo Buhongwa. Pote papo shwari kabisa!
Kibwengo la lumumbaAhahahahaha! Wewe umbuka tu. Mwanza pametulia tuliii! Nilikuwa mjini kati. Nikaenda Igoma na Kisesa. Nimepigia Kishiri Sasa hivi nipo Buhongwa. Pote papo shwari kabisa!
Sitachangia kwa sasa kwa mtu kama wewe "akili kubwa"! Ahahahahaha!!Kibwengo la lumumba
NgwachunyagaSitachangia kwa sasa kwa mtu kama wewe "akili kubwa"! Ahahahahaha!!