Wale ni ma house boy na girl wewe ni kenge wa kizimkazi!Hakuna jambo lolote, mnajipa moyo tu.Hakuna Mtanzania atakayekubali ujinga wenu tena. Enough is enough. Labda wale ma house boy na ma house girl wanane wa wajerumani waliojikusanya kule ujerumani jana.
Mi Mhaya wa Kiziba. Hayo siyajui na kama ni matusi, "mwenyewe"! Ahahahahaha!Ngwachunyaga
Hamna script ni kile kibano😀😀wanaochochea wenyewe hawaandamani , watu wako busy kupambana na maisha , wewe eti unakomboa nchi kwa kuvunja duka la mlala hoi mwenzio ...Viongozi hakuna alidhulika wa pande zote , mmebaki matoys kama makondooo ..kuna script moja imechezwa ni katika kila mkoa au manispaa yalipotokea machafuko. hakuna kitu
Kibano safi na leo walijiandaa , kibano kinafanya kazi mpaka watu wanaleta huruma ..Huko mjini watu wanaendelea na biashara zao .Hakuna mtu anayeitaka tena kujitoa kafara nilinusurika risasi hivi hivi staki Ng,oo
Kama unamanisha kwenye karo la choo cha stand naweza kukubaliana na wewe!!!Inasemekana mwanza kimenuka mwenye talifa atujuze kwa kina huko
Hapana Mwanza tupo shwari mkuuMwanza ipi maana mi nipo city centre hapa.
Tupo shwari kiuhalisia! Binafsi nipo GR 7 Mkolani Darajani nakunywa Konyagi na sina wasiwasi kabisa!Hapana Mwanza tupo shwari mkuu
Hali n̈i kuzagaa kŵa washika mitutu a.k..a chinǰachinja wa kumbùkizi ya mmwaka moǰa ya maùaji ya kimbarri pale jamhùi yaMalawi.Kìla makutano ya njia panda mizunguķo ya barabara unaoona roboti kadhaa zìkificha sura huku zimeshikilia gobori za kukuulì tembo🐘Saa 6 Mchana:
Hali katika mikoa yote inaelezwa kuwa shwari kabisa, ikiwemo miji mikubwa na majiji.
Kuna ongezeko la polisi kwenye makutano muhimu ya barabara, taasisi za serikali, na maeneo mengine ya kimkakati ikionekana kama njia ya kuchukua tahadhari katika Mikoa ya Dar, Mbeya, Dodoma na Arusha.
Shughuli zinaonekana kuendelea kama kawaida shuleni, sokoni, vituo vya mafuta, ofisi za serikali, nk.
Saa 12 asubuhi:
Barabara ya Mbezi/Kimara kuelekea Ubungo, Magomeni, Kariakoo, Kituo Kikuu cha Polisi, Posta hali ni shwari, polisi wameongezeka lakini shughuli zinaendelea, hakuna vizuizi. Kituo cha Magufuli na Mwendokasi vinafanya kazi kama kawaida. Magari yameripotiwa kuwa machache na movement ni ndogo, lakini usafiri bado unapatikana.
Polisi wapo wa kitosha lakini hakuna ghasia zozote, pia kuna magari kama saba hivi maeneo ya Coco Plaza.