Updates rwanda vs taifa stars

duh!huo ubingwa utetezi wenyewe mi naona ndo kama 2taupoteza mapema 2cpo kuwa makini kwa mechi zilizobaki.
 
Hapo hakuna cha kushangaza maana wanamichezo wetu wanajifunza usanii kutoka kwa viongozi wetu.
 
Wavunje timu wajitoe kwenye michuano yote tujipange tena

ukitaka maofisa wa TFF watokwe na mapofu, toa hilo pendekezo. Unataka wajipange tena upya then huu ulaji wamuachie nani?
 
Changamka kaka uwahi kwa shemeji!na hivi tulivyopoteza kurudi home inakuwa na kauvivu fulani!

Niko nae, kavuta mdomo kwa hasira utafikiri timu iliyyofungwa anailipa mshahara!
 
Niko nae, kavuta mdomo kwa hasira utafikiri timu iliyyofungwa anailipa mshahara!

Ha ha ha ha ha!mwambie ajifunze kuzoea kama kweli anataka kuwa shabiki wa stars
 
lakini tumeucheza sema goli letu limekataliwa...hongera makocha na wachezaji mechi ijayo mjitahidi zaidi..
 
Wakuu hata mwaka jana tulifungwa hivihivi. Lakini mimi kinachoniumiza ni jinsi traffic wanavyosababisha foleni mjini eti kili star wanapita. sasa hivi dar nzima foleni. halafu julio asipo acha usimba na uyanga timu haitafika kokote. leo wangeshinda ungesikia julio anasema eti ni zawadi ya kikwete.ananiudhi. mia
 
No creativity no vision from stars! Goli la pili Nurdin Bakari Fyongo tupu
 
ooohhh julio ni noma ni mtu wa mbilinge mbilinge maneno ya mbwiga hayo..
 
wasithuutu kuleta mechi miaka hamsini tusije pata aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…