UPDATES:Simba vs Mtibwa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Msiache kutupabupdates jaman ahsanteni kwakuwa pamoja nasi tunaitaji kujua pia matokeoyenu itusaidie kuangaliannani amebaki wa kuchukua toka huko
 
Haya tupeni matokeo ya hilo bonanza
 
Huyu Maxime itamchukua muda mrefu yeye na timu yake kufikia hatua mzuri, Yaan mpira mbovu waliocheza mtibwa utafikiri kama timu haina kocha!!!!!!!
Eti unamtegemea Bahanuzi na Javu wafunge goli??????
Simba hii ni ya kuifunga Mtibwa kweli!!!!!! Hapana labda Simba wawe wamenunua Mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…