Kiaje bandugu? Na huyu kweli anaenda ManchesterJamaa akiungana na Mou itatuumiza sana kwasababu Mou atamtumia to the fullest
Hahahaaaaaa kumbe we ni shabiki wa Chelsea? Umeshaanza kuyaogopa mashetani?Ule mfumo wake wa Striker mmoja mwenye kila kitu anawaweza kuutumia baadhi ya game, Ila poa na sisi Chelsea Conte atatujengea kikosi