Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Habari wakuu, nimeitwa kwenye usaili na secretarieti ya ajira katika utumishi wa umma. Nafasi ya afisa uchunguzi daraja la pili ofisi ya secretarieti ya maadili ya viongozi wa umma. Naomba kujua hawa wanashughulika na nn. na afisa uchunguzi anafanya kazi gani coz nimesoma uhasibu.
Nenda. Taasisi yoyote inayojihusisha na uchunguzi, hata kama ni kampuni kama vile kampuni za Insurance ambazo huhitaji kufanya investigations kali kutambua kama claims ni za kweli au la, huwa zinahitaji wataalam katika kada mbalimbali. Na hasa hiyo taaluma yako ya Uhasibu ni muhimu saana katika investigations za mahesabu ya fedha. Go...and fast!