Updates Tanzania vs Botswana

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
19,697
Reaction score
15,497
KIKOSI CHA KWANZA CHA TANZANIA DHIDI YA BOTSWANA
1:Aishi Manula
2: Erasto Nyoni
3:Gadiel Michael
4:Abdi Banda
5:Kelvin Yondani
6:Himid Mao
7:Simon Msuva
8:Mzamiru Yassin
9:Shiza Kichuya
10:Khamis Abdallah
11:Mbwana Ally Samatta
KIKOSI CHA AKIBA
1:Ramadhan Kabwili
2:Mwadin Ally
3:Boniphace Maganga
4:Raphael Daud
5:Salim Mbonde
6:Said Ndemla
7::Aziz Bitegeko
8::Elias Maguri
9::Kelvin Sabato

Mechi ndo imeanza Tanzania 0-0 Botswana, Dakika ya 3 Tanzania 0-0 Botswana, Gooooooo dakika 05 Simon Msuva anaipatia Tanzania Goli la Kuongoza, Tanzania 1-0 Botswana.

Dakika ya 09 Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 13 Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 15 Botswana wanapata kona ya 3 Tanzania hawajapata hata moja, Dakika ya 17 Tanzania 1-0 Botswana.

Dakika ya 20 Tanzania wanapata kona ya Kwanza, dakika ya 21 Tanzania wanapata kona ya pili, dakika ya 22 Tanzania Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 24 Tanzania Faulu 2- 4 Botswana.

Dakika ya 28 Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 29 Tanzania Faulu 3-6 Boatswain, dakika ya 31 Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 32 Tanzania wanapata kona ya tatu, dakika ya 43 Tanzania Faulu 5-6 Botswana.

Dakika ya 36 Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 37 Botswana wanapata kona ya 5, dakika ya 40 Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 42 Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 44 Tanzania 1-0 Botswana, dakika 3 za ngongeza Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 45+2 Tanzania 1-0 Botswana.

Mpira ni Mapumziko mechi ya kirafiki Tanzania 1-0 Botswana goli la Simon Msuva dakika ya 05 kipindi cha Kwanza


Sent from my TV
 
Dakika ya tano mzamilu anagongeana one two na msuva. ..bila makosa msuva anaweka kitu kwenye kamba

Sent from my TV
 
Tanzania wanapata kona ya kwanza dhidi ya tatu za Botswana

Sent from my TV
 
Kona tena

Sent from my TV
 
Msuva anachezewa faulo nje ya eneo la 18

Sent from my TV
 
Dk 23

Sent from my TV
 
Hii ni mechi ya kirafiki kwenye kalenda ya fifa...hivyo ushindi kwa stars unaweza kutunyanyua katika fifa rankings

Sent from my TV
 
3 fouls 5

Sent from my TV
 
Manula kacheza kitu kilikuwa kinaelekea kambani

Sent from my TV
 
Dk 40, stars 1 zebras 0

Sent from my TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…