Updates Tanzania vs Botswana

Dk 3 za nyongeza

Sent from my TV
 
Mchezo ni mapumziko stars wakitoka na goli moja na watswana hawajapata kitu

Sent from my TV
 
48% Possession 52%

Sent from my TV
 
Mpira umereje...kipindi cha pili

Sent from my TV
 
TFF inafeli wapi mbona mambo kama hayaeleweki hivi. Leo wamefanya kituko bendera zimekosewa kuwekwa imewalazimu timu kukaa kinyume na protocal za mpira wa miguu hari iliyopelekea kukosekana maelewano kati ya wageni na wenyeji wao. Juzi ngao ya jamii ilikosewa, leo tena mechi ya kimataifa maandalizi hatuwezi.... What's wrong with you people?
 
53 possession 47

Sent from my TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…