Updates: Tunaongoja mradi wa BBT awamu ya pili

Updates: Tunaongoja mradi wa BBT awamu ya pili

Kaplizer

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
720
Reaction score
582
Vijana wa Bashe tunaosubiri mradi wa kilimo na ufugaji wa building a better tomorrow (BBT) tupeane yanayojiri hapa..
 
Tuliomba mwanzo tukakosa ni kweli tutapewa kipaumbele au jkt ndo watabebwa zaidi
 
Ni lini hiyo awamu ya pili tuelekeze mkuu na vigezo na masharti
 
Mna poteza mda hizi zime kaa kisiasa sana .kama hawa walio enda wame rudishwa nyumbani hili waende JKt kwanza .siasa ni mchezo mchafua sana uliojaa hopes za uongo
 
Vijana wa Bashe tunaosubiri mradi wa kilimo na ufugaji wa building a better tomorrow (BBT) tupeane yanayojiri hapa..
Usipoteze mda wako ndugu, kula ni siasa, hebu fatilia hao waliomaliza wapo wapi Sasa hivi then uamue mwenyewe
 
Back
Top Bottom